NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Tuesday, March 16, 2010

HII PROGRAMU YA KUREKEBISHIA PICHA IMENIUMBUA

 • Leo nilikuwa najifunza kutumia programu moja ya kurekebishia picha na bila kujua nikajikuta nimefika huku kwenye hizi noti za wenyewe. Hata sijui nilichobonyeza mpaka nikajikuta picha yangu imepotea na badala yake nina hii noti. Na sijui kama nimeshavunja sheria! Nikiswekwa korokoroni kaeni tayari kuja kunikomboa. Kazi kwelikweli!

3 comments:

 1. Ha ha haaa! Matondo, wakati mwingine inabidi kufikiria mara mbili hasa unapojihusisha na vitu usovijua a.k.a kwa kiingereza - mashikolo mageni....lol

  tutakuwekea dhamana tu usiwe na hofu :-)

  ReplyDelete
 2. shauri lako utajibandika kwenye mambo ya ajabu

  ReplyDelete
 3. Ni jambo la kawaida hili kwa hawa jamaa. Huko Bongo pengine mtu unaweza kujitia matatani. Kwa hivyo hamtakuwa na haja ya kuja kuniwekea dhamana!

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU