NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Monday, March 8, 2010

KAMERA ZIPO KILA MAHALI. KUWA MAKINI

6 comments:

 1. Hilo nalo neno!

  Kwa kuwa hata vinavofanywa chumbani hujulikana hadharani pasi na kutegemea. Kazi ipo.

  ReplyDelete
 2. camera zinasaidia wakati mwengine

  ReplyDelete
 3. Watila, Ndiyo nakubali kwa asilimia 100, kamera zinasaidia sana, na zipo kila mahali hasa katika hii miji ya wenzetu. Kwa hivyo kila unachokifanya kifanye ukijua kwamba kuna mtu anakuangalia....

  Ng'wanambiti - kweli hili nalo ni neno...hakuna usiri tena kwani hata huko chumbani kwako huwezi jua kama kweli hakuna kikamera kinachorekodi yote unayoyatenda huko. Vurugu tupu!

  ReplyDelete
 4. hahahahahaah, kama zipo chumbani mbona issue, kaaaaaazi kwelikweli

  ReplyDelete
 5. Huwezi jua. Hata huko chumbani probably mtu keshaweka kikamera cha kurekodi mambo. Nilishafanya hii mara nyingi sana kwa magirlfriends wangu. Ni raha sana

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU