NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Saturday, March 20, 2010

LINI ZITAPIGWA BUNGENI CHIMWAGA? STAILI YA KICHINA MPAKA LINI?

UTURUKI

TAIWAN

KOREA YA KUSINI

URUSI

MEXICO

JAPAN

INDIA

ITALIA

*******************
NA MWISHO - CHINA

Asante "dad" kwa picha hizi...

3 comments:

 1. Kwa jinsi wanavyoumbuana, kutukanana, na kunyunyiziana unga kwenye viti usiku wa manane, iko siku zitaanza kupigwa. Tuvute subira; hii burudani inakuja.

  ReplyDelete
 2. Hiyo ya kulala ingekuwepo moja ya Dodoma...lol maana they do it pia!!

  Na hizi za kupigana I love watching them kwenye "World's Most Amazing Videos"....to me they are so funny!!!! What people do for madaraka...wow!

  ReplyDelete
 3. Prof. Mbele - hii ya kunyunyiziana "unga" kwenye viti ni kali. Niliisikia kijuujuu tu na sijui iliishia wapi. Kweli ngoja tuvute subira.

  Hawa jamaa wanaozipiga nadhani ni wa vyama tofauti tofauti na sera zimegongana na hoja kugoma mpaka wameamua kukwaana. Kama wanapigana kwa vile upande mmoja una uchungu na uko tayari kutetea maslahi ya umma hata ikibidi kurusha makonde ni sawa.

  Sidhani kama wabunge wa CCM wanaweza kuzipiga. Na huyo mbunge wa upinzani atakayekosea kumrushia konde mwanaCCM mbona cha moto atakiona. Atagombewa kama mpira wa kona. Ipo siku!

  Candy1 - staili ya Kichina ya Chimwaga sikuipata ingawa nadhani pengine ipo. "World's Most Amazing Videos" pia ni mojawapo ya programu nipendazo kuzingalia. Angalia pia "World's Dumbest..." utacheka mpaka uvunjike mbavu!

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU