NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Friday, March 26, 2010

WATAALAMU WA HISABATI HAPA MNASEMAJE? NI KWELI MAPENZI HAYANA FOMYULA?

9 comments:

 1. Nimeipenda hesabu hiyo isiyo na kanuni japo shule nilikuwa mbumbumbu wa hesabu. Walionipokea waliniaminisha hesabu ngumu. Kumbe zilitakiwa jitihada tu.

  ReplyDelete
 2. Nimeona njia nyingi na kanuni za hesabu lakini hii nilikuwa sijaiona.

  ReplyDelete
 3. I wish nisingekuwa safarini ili nishee na maiwaifu mtaalamu wa hii kitu. sijui anasemaje yeye

  ReplyDelete
 4. Any way,uki-intergrate kutoka 0 mpaka 1 unaweza kupata jibu zuri zaidi....lol

  ReplyDelete
 5. Bwana Masangu,
  Ulioacha comments kwenye blogu yangu kuhusiana na kitabu changu kipya nami nikakujibu. Ajabu hukurejesha jibu langu. Je naweza kupata barua meme yako vipi ili tuongee mengi? Kama hutaweza ningeweza kukutumia nakala.
  Nangojea jibu lako.
  Nkwazi Mhango,
  Altona MB

  ReplyDelete
 6. Chacha Uki-intergrate kutoka 0 mpaka 1 jibu lake litakuwa nzuri kwa sababu litakuwa limeacha mambo mengi....

  ILI UPATE JIBU SAHIHI INABIDI U -INTEGRATE TOKA "NEGATIVE INFINITY" TO "POSITIVE INFINITY"

  ReplyDelete
 7. Matondo inaelekea hisabati zilikuwa zinakutibua sana...au?

  ReplyDelete
 8. Da Mija - Nilikuwa najiweza kwa kiasi changu na kama siku ningeamka vizuri basi ningeweza kupata A au B na C. Tatizo ni kwamba sikuona umuhimu wake. Ndiyo maana nilishtuka nilipokutana nazo kwenye isimu - tazama hapa: http://matondo.blogspot.com/2009/12/wanafunzi-sikilizeni-msidharau-somo-la.html

  Ni somo la muhimu sana ambalo halikwepeki popote mtu utakapoenda. Hata ukisoma Historia au Siasa, utakutana nalo tu kwenye mambo ya data n.k.

  Si unaona hayo mambo ya ku-integrate ya Bwana Habib na Ng'wanambiti hapo juu? Kazi kwelikweli.

  Kamala - shemeji akikokotoa, tujulishe.

  Fadhy - Kila kitu maishani ni jitihada tu. Nadhani ni Thomas Edison aliyesema kwamba katika kila kitu alichofanya 1% ilikuwa ni matunda ya akili zake na 99% jitihada (Genius is 1% inspiration, and 99% perspiration). Siku hizi mimi naamini kila kitu kinawezekana kama mtu ukiweka akili na nguvu zako zote katika kukishughulikia. Nina mifano mingi kupitia kwangu mwenyewe.

  Yasinta - elimu haina mwisho ati!

  Bwana Nkwazi Mhango, tuwasiliane kupitia profesamatondo@gmail.com. Nitaacha ujumbe pia katika blogu yako. Asanteni nyote!!!

  ReplyDelete
 9. niko mbali naye, japo kukokotoa ni kazi yake ya kila siku. nikiwanaye nitampatia nione itakuwaje!

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU