NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Thursday, April 8, 2010

MADAKTARI WACHEMSHA: WAMFANYIA OPERESHENI YA UZAZI MAMA "MJAMZITO" AMBAYE HAKUWA NA MIMBA

 • Sisemi mengi. Kisikilize kisa hiki hapa.

4 comments:

 1. Huyo mama kauaga umaskini (japo kwa staili ya ajabu)
  Nami sisemi mengi

  ReplyDelete
 2. Inavyoonekana huyu mama alikuwa na tatizo la kiakili ambalo lilimfanya aamini kwamba alikuwa na mimba kumbe hakuna. Mpaka alimleta mume wake hospitalini ili ashuhudie kuzaliwa kwa mtoto. Madaktari wakajaribu "ku-induce labor" bila mafanikio ndipo mwishowe wakaamua kumfanyia upasuaji. Kumbe mama wa watu hakuwa na mimba wala nini ingawa akilini mwake kweli aliamini kwamba alikuwa na mimba na alikuwa anakaribia kujifungua.

  Daktari kiongozi katika timu iliyofanya upasuaji huu ameshaonywa.

  ReplyDelete
 3. Kaka Matondo,

  Hayo mbona yanatokea huku kwetu? mtu anaweza kuwa na mtumbo mkubwa kumbe uvimbe tu wa tumbo (tumor).

  Cha ajabu hayo ma-tumor inasemekana huwa yanacheza ka mtoto achezavo tumboni. sijui madaktari wa utabibu wana lolote lile la kutueleza sababu ya hayo?

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU