NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Friday, April 23, 2010

UKITAKA KUWA NAMBARI WANI, NI LAZIMA UWE NAMBARI WANI.

6 comments:

 1. "MAISHA BORA KWA KILA MTANZANIA". Lazima hii itakuwa ni tungo tata. Ina maana zaidi ya moja. Na wao wanamaanisha maana iliyojificha. MIAKA ZAIDI YA 33 YA KUSHIKA HATAMU...

  ReplyDelete
 2. kwa kutumia vigezo vipi?

  Kama weye ni mbumbumbu huwezi kutegemea kama utakuwa nambari wani kwa akili UNLESS hiyo akili ni ya PUNDA :-(

  Hata wale wanaoambiwa kuwa ukitaka biashara yako inawiri jiunge na nambari wani na wakakubali hawana tofauti na wale waendao kwa mganga kutafuta utajiri :-(

  ReplyDelete
 3. CCM kweli ni NAMBARI WANI. Nyie mtapiga makelele wee siye tupo tu tunapeta. We own this country na acheni kupiga makelele. Miaka 50 tangu tupate uhuru ni kidogo sana. Tupeni muda zaidi mtaona mabadiliko. And frankly speaking, ni mpinzani yupi anaweza kuwa rais na akafanya kazi nzuri kama ya CCM? Mbowe ni mpayukaji tu kama Mrema na Mtikila na hawa ni wa kuwaogopa kama Ukoma (Mwalimu warned you). Lipumba is tired na tukumbuke kwamba theory zake za uchumi wakati ule kidogo zituangamize. Ukweli ni kwamba kwa sasa HAKUNA OPPOSITION ambayo inaweza kupambana na CCM. That is a fact whether you like it or not; and live with it for the next 100 years at lease. Kidumu Chama cha Mapinduzi. Zidumu Fikra sahihi za Mwenyekiti wa Chama!

  ReplyDelete
 4. Anony: nimependa maoni yako. Lakini kumbuka hakuna kitu kidumucho. Opposition inaweza kama usemavo kuwa hawana mtu wa kupambana na CCM ktk medani ya urais.

  Lakini siku zaja nazo si nyingi sana watu watakakataa ama kukubali kuwa lambalamba na kisha wakachagua upinzani, si katika nafasi ya urais bali ktk nafasi ya wabunge na madiwani kitu ambacho kitakilazimisha chama tawala kuunda serikali ya umoja wa kitaifa.

  Ikitokea hivyo itabidi na katiba yetu ibadilike kwa kuwa hatuna provision ktk katiba ya sasa inayosemea suala hilo.

  It is a matter of time tu ambapo fikra sahihi zitadhihirika kuwa 'bila CCM madhubuti NCHI itayumba'

  ReplyDelete
 5. KIDUMU CHAMA CHA MAPINDUZI!!!!!!!!

  ReplyDelete
 6. Ni zaidi ya Tungo TATA kwa walio nje ya TANZANIA na pengine nje Dar (posta mpya)wanaweza kuamini

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU