NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Friday, April 9, 2010

WAMAREKANI WANAVYOHANGAIKA NA OBAMA WAO...SIASA KWELI NI MCHEZO MCHAFU

 • Kwa picha zaidi kumhusu Obama Msoshalisti, tazama hapa.

5 comments:

 1. Kweli Wamarekani ni watu wa ajabu sana. Hawakupenda mswada wa bima ya afya kusainiwa.

  ReplyDelete
 2. Kweli Wamarekani ni watu wa ajabu sana. Hawakupenda mswada wa bima ya afya kusainiwa.

  ReplyDelete
 3. bila shaka wanauchukia saaana ujamaa. siasa bwana. ila tatizo ni kama alivyowahi kusema Hitler kwamba watu huwa hawafikirii sawa sawa, kwa hiyo Obama atashindwa tu kwani watu hawafirii na hivyo wingi wa picha kama hizi zinaweza kumchukiza huyu jamaa kwa wamarekani wengi, ni lazima watashinda tu kwani watu hupelekwa na upepo

  ReplyDelete
 4. Lakini ameonyesha kwamba ni kiongozi asiyelegalega. Kila mtu hakuamini kama kweli angeweza kupitisha mabadiliko ya bima ya afya na pamoja na kupigwa vita sana, alibakia kuwa ngangari kwelikweli mpaka akaweza.

  Wanaompiga vita na washindwe kwa jina la Yesu.

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU