NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Wednesday, May 19, 2010

MALIZIA SENTENSI IFUATAYO: KAMA HUMPENDI YESU, KAMWE HUTAINGIA....

  • Tazama jibu kwenye fulana ya huyu "mlokole!"

4 comments:

  1. Ha haa haaaa! Nimeishia kucheka. U've made my day. Thanx

    ReplyDelete
  2. Nahisi hii nguo ingewafaa zaidi kina dada, maana wengi tungempokea yesu

    ReplyDelete
  3. Kweli. Ukristo sijui kwa nini umelala. Kuanzia sasa iwe ni kwa wasichana wote bila kumpokea Yesu hakuna ngono. Nakupa two weeks makanisa yote yatafurika!!!

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU