Wadau na wanablogu wenzangu;
- Niko safarini na niliko hakuna mtandao (wa kuaminika). Nitarudi uwanjani wiki kesho japo kwa kwikwi kidogo. Japo nimepotea kidogo bado sijaliacha (na sitaliacha) pigano. Libeneke litaendelea kama kawaida. Tuko pamoja daima!!!




Pole sana na kila la kheri huko utakakokuwa.
ReplyDeleteusisahau kutuletea matobolwa kama watakuruhusu kuingia nayo
ReplyDeleteAsante Fadhy. Mashaka - Asante pia lakini siko kwenye Matobolwa...Nimeyakumbuka!!!
ReplyDeleteUwe na wakati mzuri huko kaka.
ReplyDeleteKila la kheri huko uendako. Pigano lakungoja!!
ReplyDeletepole na pia uwe na wakati mzuri huko uliko! tupo pamoja. Upendo Daima!!
ReplyDeleteacha uzembe, rudiulingoni. mbonamimi nasafiri sana lakini silalamiki?? rudi bwana weye
ReplyDeleteJamani - asanteni nyote kwa kunitakia wakati mzuri. Kamala - asante pia. Wakati mwingine "kulalamika" muhimu ati! Pamoja daima!
ReplyDelete