NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Thursday, July 29, 2010

HUYU "MGONJWA" ATAAGA DUNIA LINI TUPUMUE???

2 comments:

 1. Huyu mdudu kwenye Binadamu sizani kama anaweza kutoweka. Nadhani ni digirii tu ya uwepo wake ndio hutofautisha padaiwapo kuna rushwa na padaiwapo hakuna rushwa.

  Kwani kipimo cha rushwa ni nini?Kwa kuwa ukibadili kipimo na kuangalia mpaka wale waongao rushwa za miili yao au AHADI TU ZIFURAHISHAZO WATU unaweza kukata tamaa kabisa na uwezekano wa ugonjwa huukutoweka.:-(

  ReplyDelete
 2. Huyo mgonjwa nahitaji mtu wa kumsaidia kufa....lol!

  Huko madaktari mahsusi wa kumsaidia mtu kufa hasa mwenye magonjwa yenye kumletea maumivu ili akufe kwa amani.

  Sasa sijui kwetu siye huyo mgonjwa kirusi alichonacho kinampa maumivu ama utamu :-(

  Nauliza hivyo kwa kuwa yawezekana akawa analalama kitandani kuwa anamaumivu mbele ya watu ilihali akijifunika shuka anajisikia utamu :-(

  Si mnaona wakati huu wa uchaguzi jamani? uchungu-utamu!

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU