NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Wednesday, July 21, 2010

JENGO KONGWE NA MAARUFU KULIKO YOTE JIJINI MWANZA. WALIJUA?

5 comments:

 1. Nahisi hii ni Bugando hii.
  Lakini wanahitaji kulikarabati jamani. Waliolijenga wakija si watajivunia walichofanya enzi hizo. Ninachomaanisha ni kuwa BUGANDO ilikuwa vema na njema miongo kadhaa iliyopita kuliko inavyoonekana sasa.
  Mmhhhhhhhhhhhhh!!

  ReplyDelete
 2. Musee ya Changamoto: walojenga watakuja lini? Si walifukuzwa? Waisraeli hao wakija watalia kwa kuona jinsi ambapo tuko 'masikini' (poor) ktk ufanyaji matengenezo,ukarabati na ukarafati....lol!

  Mabhugando sasa yako mengi njini kwa kuwa ndugu zangu wasukuma walikuwa wanalipishwa sana pesa kwa kushangaa mabhugando yaliyopandianapandiana...samahani miye si mtani wa wasukuma hivyo ruksaaa kuninanga....lol!

  ReplyDelete
 3. Hili jengo liko kati kati ya nyumba za bibi yangu moja iko miti mirefu na nyingine iko igogo ha ha ha!!!

  ReplyDelete
 4. Serikali kuitaifisha hii hospitali lilikuwa kosa. Nilisikia kwamba serikali iliirudisha kwa wenyewe.

  Ng'wanambiti - ni kweli. Siku yangu ya kwanza nimefika Mwanza ilibidi niende karibu kabisa na Libugando ili nikashuhudie Lighorofa laivu Ng'wanawane. We acha tu.

  Mumyhery -basi na mimi nina ndugu hapo karibu kabisa na hili jengo. Umenikumbusha mitaa ya miti mirefu na Igogo. Mwanza!

  ReplyDelete
 5. hiyo ni bugando hospital iliyoko mwanza, inasikitisha sana kuona karibu majengo mengi yaliyotaifishwa na serikali yameharibika na yanatia aibu sana. Walioyajenga wakiyaona hutamani kutoa machozi. Miaka 40 ya uhuru bado serikali inasema inajipanga kiuchumi, kisiasa n.k....!! KWA MWENDO HUU TUTAFIKA NCHI YA AHADI...."TANZANIA YENYE MAENDELEO DHABITI"???

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU