NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Monday, July 19, 2010

NI LILE SAMAKI LA MWANZA LINALOTEMA MAJI USIKU NA MCHANA NG'WANAWANE

 • Nami nilifika na kuliona lile samaki la Mwanza. Mlinzi wa pale siku ile alikuwa mbogo na hakuturuhusu kulisogelea. Alituambia kama tulitaka kulisogelea basi ilibidi twende makao makuu ya Manispaa kuomba kibali. Bagosha!

3 comments:

 1. Huyo samaki yuko sehemu gani pale Mwanza? Ningependa kulitembelea nikifika huko... Ahsante kwa ritaswira!!

  ReplyDelete
 2. Yuko eneo la FOUR WAYS! Kuelekea eapoti, uhamiaji/stesheni ya treni; mkolani na Mza Hotel/Nyanza Hostel!

  Una bahati uiambiwa ukaombe ruksa kwa Manizubaa/zizi!!! wengine hulipishwa mahela kulitazama linavotoa maji...lol!

  ReplyDelete
 3. Ng'wanambiti - asante kwa kunisaidia kujibu swali la Mfalme kwa usahihi vile. Mlinzi siku ile naona alikuwa na tatizo kwani hata kuongeleshwa alikuwa hataki. Kila mtu na ofisi yake ati!

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU