NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA
Wednesday, July 28, 2010
RIWAYA MPYA YA MWALIMU NKWAZI MHANGO WA MPAYUKAJI.BLOGSPOT.COM SASA IKO TAYARI
Kwa maelekezo zaidi jinsi ya kuipata riwaya hii mpya pamoja na ile ya SAA YA UKOMBOZI wasiliana na Mwalimu Nkwazi Mhango kwa kubofya hapa; au tembelea blogu yake ya mpayukaji.blogspot.com
Huyu jamaa anaanza kuwa balaa. Nimesoma kitabu chake cha saa ya ukombozi na kumkubali kuwa ni mwandishi wa kisasa. Nimevutiwa na staili yake ya kuwasilisha hoja kwa vijembe na lugha rahisi katika masuala magumu. Thanks prof Matondo kwa kutupa nyuzi hizi.

ReplyDelete