A little boy at a wedding looks at his mom and says
"Mommy, why does the bride wear white?"
His mom replies,
"The bride is in white because she is happy
and this is the happiest day of her life."
The boy thinks about this then says,
"Well, then why is the groom wearing black?"




mimi sina jibu kwani sikuvaa suti na sijawahi vaa suti maishani mwangu japo pia kuna uwezekano nikafa bila kuivaa, so sijui
ReplyDeleteni uamuzi tu mume wangu alivaa suti ya kijivu:-)
ReplyDeleteMimi nadhani hili ni suala la Kifalsafa zaidi. Kwa vile bibi harusi huvaa rangi nyeupe kuashiria furaha, Bwana Harusi ni lazima avae nyeusi kuashiria huzuni (rangi nyeusi ni rangi ya giza tukubali tusikubali). Na sote tunajua kwamba furaha na huzuni hukamilishana - hata katika ndoa.
ReplyDeleteKilichonivutia hapa (and this shows kwamba umekomaa), mweupe ndiyo kavaa nyeusi na mweusi ndiyo kavaa nyeupe. Inafikirisha sana!
Ni suala la kimapambo zaidi kulingana na rangi ya mtu kwani si wote wanavaa suti nyeusi. Ila kama rangi yake inamruhusu kuvaa nyeusi inapendeza zaidi kwani inarandana (kumechishana) na vazi jeupe la bibi harusi.
ReplyDelete