- Ni kule Uingereza.
- Kwa kila talaka tano, moja kati ya hizo imesababishwa na facebook.
- Wanandoa wanatumia "facebook" kujua kama wapenzi wao wanaikandamiza amri ya saba; na pia kutafuta wapenzi wapya ili kuziba mapengo ya kile kinachokosekana katika ndoa zao.
- Karibu asilimia 20 ya madai ya talaka yaliyorekodiwa katika tovuti ya Divorce-Online yanataja "facebook"
- Wewe una maoni gani kuhusu "facebook"? Unaiona kama huduma ya hatari au tovuti ya muhimu kwa vile imekufanya ukutane na marafiki zako wa zamani, na wapya? Utandawazi!
- Kwa habari zaidi kuhusu mada hii soma hapa.





0 comments:
Post a Comment