NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Wednesday, August 4, 2010

HALAFU NIKAZIONA CHIPS.....

  • Ilikuwa ni jijini Mwanza mitaa ya barabara ya uhuru. Pfuu mbele yangu nikaziona Matondo chips. Ilinibidi niende kuongea na wahusika. Niliwaambia kwamba nami nilikuwa naitwa Matondo. Walifurahi na kunikaribisha. Kwa vile ilikuwa ni asubuhi, chips zenyewe wala zilikuwa hazijaanza kupikwa. 
  • Tuliwekeana miadi kwamba nirudi jioni kwa ajili ya chips spesheli zilizoambatana na kombe la dunia. Kwa bahati mbaya sikupata nafasi ya kurudi jioni ile na kwa hivyo nikazikosa Matondo chips!!!

2 comments:

  1. Hizo ndio ahadi za kikwetu, nisubiri ninakuja sasa hivi huku unaondoka, na kurudi ni majaliwa

    ReplyDelete
  2. Unajua kama kuna Matondo wengine au je walikuomba kutumia jina lako? Au hilo jina lina maana gani?

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU