NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Tuesday, August 17, 2010

HAWA NDIO WAGOMBEA RASMI WA UBUNGE (CCM) MKOA WA SHINYANGA (NA KWINGINEKO)

Kama nilivyotegemea, mbunge wangu mpendwa ameshinda tena! Kule Mbeya, hata hivyo, Mwakalebela ametemwa kwa sababu ya tuhuma za rushwa wakati wa kura za maoni. CCM Oyee !!!

***************************
  14.MKOA WA SHINYANGA
   
  (i) Shinyanga Mjini: Steven  Julius  Masele
  (ii) Kishapu: Nchambi Seleman Masoud
  (iii) Kahama: James Daud  Lembeli
  (iv) Msalala: Maige Ezekiel Magolyo
  (v) Solwa:  AhmeD Ally Salum
  (vi) Bukombe: Emanuel Jumanne Luhahula
  (vii) Mbogwe: Masele Agustino Manyanda
  (viii) Bariadi Mashariki: Makondo Martine Kaunda
  (ix) Bariadi Magharibi: Chenge Andrew John
  (x) Maswa Mashariki: Bunyongoli Peter Edward
  (xi) Maswa Magharibi: Kisena Robert Simon
  (xii) Meatu:Salum Khamis Salum
  (xiii) Kisesa: Joelson Luhaga Mpina.

  Kwa orodha kamili ya wagombea wa CCM, tazama hapa na hapa.

  1 comment:

  1. Ha ha haaaaaa mbunge wako mpendwa amepita. Pongezi sana.

   Mie mbunge wangu aliyekuwa mbovu alianguka kura za maoni. Ila mbunge wangu mpendwa ambaye alileta maendeleo jimboni kabla hajaanguka 2005, alishinda kura za maoni. Kufika Dom, wamekata jina lake na kutuletea mshindi wa tatu.

   Yeye kaamua kukimbilia Chadema.

   Kazi ipo mwaka huu.

   ReplyDelete

  JIANDIKISHE HAPA

  Enter your email address:

  Delivered by FeedBurner

  VITAMBULISHO VYETU