NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Wednesday, August 11, 2010

HII PICHA NIMEIPENDA SANA SIJUI KWA NINI....


"Kichwa" cha familia hii leo kinatimiza miongo mitatu. Kwa habari zaidi bofya hapa.

4 comments:

 1. WAMEPENDEZAAAAAAAAAA!!! MUNGU AZIDI KUWABARIKI WAPENDWA................

  ReplyDelete
 2. Shukrani saana Kaka
  Shukrani kwa kila leo na kila jema utendalo
  BARAKA KWAKO
  Anon....BARAKA KWAKO PIA

  ReplyDelete
 3. Mama Kevin (Karagwe)October 10, 2010 at 9:10 PM

  Unaweza kuuona ubinadamu katika picha hii. Unaweza kuuona upendo wa kweli. Unaweza kuiona furaha ya familia hii changa. Shikaneni mikono. Fungamaneni wapendwa. Yashindeni majaribu. Mapenzi yenu ya kweli YASHINDE na mkadumu katika ndoa yenu milele na milele. PENDANENI !!!!

  I just wanna cry sijui kwa nini. Mume wangu kaniacha sijui kwa nini and I can just stare at this picture. I just wanna cry!!!

  ReplyDelete
 4. JAMANI WAMEPENDEZA SANA. MUNGU AZIDI KUWABARIKI, KUWALINDA NA KUWAPENDA HII FAMILIYA NA FAMILIYA ZOTE KATIKA NDOA.

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU