NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Thursday, August 12, 2010

KUNA ULAZIMA KWELI WA KUWEKA TANGAZO NAMNA HII?

4 comments:

 1. Ni vituko tu vya maisha. Kaazi kwelikweli kaka Matondo naona umebadili hapo juu picha safiii sana.

  ReplyDelete
 2. Dada Yasinta - ni katika kujaribu kujikumbusha miaka iliyopita. Hapa ilikuwa mwaka wa pili pale Mlimani...Yaani miaka inakimbia huwezi amini...

  ReplyDelete
 3. Labda hoteli hiyo wanatoa huduma nyingi kukufanya ujisikie unaheshimiwa, kiasi kwamba wanadamka mapema kukuletea maua na zawadi mbalimbali, na wanaharusi hawataki kuamshwa asubuhi.
  Dah.. hiyo picha, miaka inakimbia na watu wanabadilika sana, niziona za kwangu nikiwa undergraduate huwa nacheka sana, maana tofauti kabisa na sasa, tisa kumi ni li afro nililokuwa nalo ha ha haaa

  ReplyDelete
 4. hii kali, sasa wedding night yako inamhusu nini chiba??, kama anataka kumyemelea uliyemwedd?
  najiuliza tu

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU