NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Thursday, August 12, 2010

MAMA, WHAT DO YOU LIKE AGAINST THE WALL?

 • Sijui huyu mama atajibu nini akipigwa swali kama hili na huyu binti yake. Watoto ni wadadisi sana na kila tunachokifanya wanakiiga kwani sisi (wazazi) ndiyo walimu wao wa kwanza. Tuwe waangalifu!

5 comments:

 1. Ni kweli mwalimu, watoto wanajifunza haraka na ni wadadisi sana

  ReplyDelete
 2. Huyu mtoto akiropoka mbele ya watu wazima "hi guys, my mama likes it against the wall!" si ajabu akaambulia kipigo kutoka kwa mama yake. Hii si haki hata kidogo!

  ReplyDelete
 3. Bado sijapata jibu wala maelezo

  ReplyDelete
 4. Anavyoonekana kwa nyuma ni kama wale ndugu zangu ninaofanya kazi zetu za kusafisha maliwato
  Yawezekana suala ni kutojua kilichoandikwa.
  Shati zuri tena kwenye "sale"
  Nilikuwa na muumini mwenza nyumbani kijijini alikuwa na t-shirt nzuuuri sana ya buluu ila kifuani kuna maandishi yasemayo "my next husband will be normal"
  Hakujua maana ya hata neno moja
  Sina hakika kama anamaanisha alilovaa
  Labda ni kile anachoweza ku-afford
  NAWAZA KWA SAUTI TUUU!!!

  ReplyDelete
 5. Nimesahau kusema kuwa aliyekuwa na t-shirt hiyo alikuwa MWANAUME

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU