NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Monday, August 2, 2010

STENDI YA MABASI BARIADI MJINI

 • Stendi mpya ipo nje ya mji karibu kabisa na makao makuu ya Halmashauri ya Wilaya (Bomani)
  •  Kama kawaida, kila kitu ni kimombo N'gwanawane!
  • Pilikapilika za kujitafutia maisha zinaendelea kama huyu kijana aliyebeba duka lake zima kichwani.

   • Au huyu jamaa ambaye sikujua hasa alikuwa anafanya nini kwani alikuwa amevaa kama komandoo - bonge la kisu kiunoni, simu karibu nne, vikorokocho kibao mkononi n.k. Aliomba nimpige picha ingawa sijui picha hii nitamtumiaje.

    • Kwa ujumla, Bariadi ni mji unaokua kwa kasi sana na Wanyantuzu wanajenga nyumba nzuri na za kisasa. Pengine hii ni kutokana na ukweli kwamba Bariadi pekee ndiyo ina wabunge wa "aina yake" hapa Tanzania - Bwana Mapesa na Mzee wa Vijisenti!

    2 comments:

    JIANDIKISHE HAPA

    Enter your email address:

    Delivered by FeedBurner

    VITAMBULISHO VYETU