NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Tuesday, August 3, 2010

TAKWIMU HIZI ZINASHANGAZA !!!

  • Katika bajeti ya Wizara ya Elimu na Ufundi ya mwaka wa fedha wa 2008/2009, ni asilimia 3.6 tu ya fedha zilizotengwa ndizo zilipelekwa kwenye shule za sekondari, asilimia 6.0 tu katika elimu ya juu huku asilimia 36.0 zikitumika wizarani na mikoani.
Sababu: Eti matatizo ya usafirishaji!
  • Takwimu ni kutoka asasi ya Utafiti wa Masuala ya Kiuchumi na Kijamii (ESRF) kama ilivyoripotiwa katika gazeti la Mwananchi (Maarifa) la Juni 8, 2010 (ukurasa wa 8)

No comments:

Post a Comment

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU