NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Thursday, August 19, 2010

UREMBO - DHANA TATA AJABU

Video hii ni mwendelezo wa maangalizo juu ya dhana ya urembo yaliyowekwa hapa. Tusilazimishane kwamba eti mwanamke mrembo ni lazima awe kimbaumbau!

2 comments:

  1. Nimefurahi kuona hii kwani hivi "vimobiteli" vinafanya taifa letu la kesho kunyumba nyumba hawajui wawe vipi na pia nashangaa kwa nini wanapofanya huu uchaguzi wa urembo wanachagua visichana vidogo vidogo tena vingine hata shule havijamaliaza kwa nini kusiwe na "mrs Tanzania"? Au wanafikiri kwa vile mtu kaolewa basi hana urembo tena? Nawaza kwa sauti tu!!

    ReplyDelete
  2. Tatizo kubwa la kuiga, na ukiiga kitu unaweza ukajaribu kufanya hata zaidi ya unayemuiga, ili uonekane unajua zaidi. Pili tatizo la kujiamini, hatujiamini, kama tungejiamini, siku moja tungemchua mbantu halisi awakilishe huo urembo, kwanza tungeliweka rekodii ya dunia, pilii tungeweza hata kubadilisha huo mfumo wao. Unamjua mbantu halisi, mwili wake sura yake, sina picha, lakini mwenye blog anaweza kuitafuta na kuiweka kwa niaba yangu

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU