NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Sunday, August 1, 2010

USHAURI WA BURE KUTOKA KWA CHRIS ROCK: MAMBO YA KUZINGATIA ILI USIPIGWE NA POLISI HAPA MAREKANI (NA KWINGINEKO) - DAKIKA. 3:52

  1. Tii sheria
  2. Tumia akili yako ya kuzaliwa
  3. Ukiamriwa kusimama na polisi - tii mara moja!
  4. Usisikilize muziki wa Rap kwa sauti ya juu sana
  5. Kuwa mpole
  6. Usiropoke!
  7. Tafuta marafiki wa kizungu
  8. Usiwe na mwanamke mwenye hasira garini mwako.
****************

2 comments:

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU