NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Tuesday, August 31, 2010

WAKATI WA "KUWAFURAHISHA" WAPIGA KURA NDIYO HUU!!!
5 comments:

 1. Ha ha haaa, nakwambia sio kucheza tu. Kuna watu wanatoa ahadi, kama una akili timamu utafikiri unamsikiliza kichaa

  ReplyDelete
 2. Wanasiasa haweshi kunifurahisha

  ReplyDelete
 3. Hahahahaaa!Chibi umenivunja mbavu,nakwambia sasa kampeni ndio zimepamba moto,wanapigana vikumbo utazani hawana akili nzuri,nasafari zote za nje ya nchi zimesimama kwanza....ngoja wapigiwe kura kama watawaona.

  ReplyDelete
 4. Huyu si ndiye alikuwa analaumiwa kwa KUTOONEKANA jimboni kwake kwa muda mrefu. Wakati wa kura umefika amekwenda jimboni mwake kukata mauno. Wanasiasa haki ya mama kiboko!!!

  ReplyDelete
 5. Mpaka jasho la kikwapa linamtoka...Akipata kura hapo huyoo zake Dar. I love dem politicians!

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU