NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Saturday, August 28, 2010

WAPINZANI KAZI MNAYO!!!

4 comments:

 1. Kweli tupu. Hata Blogger tumeshaingia kwenye mkumbo huu. Ni wazi kwamba blog ile inayoitwa ETI YA JAMII kabisa haiweki habari za vyama vya upinzani. Kule ni CCM tu. Sorry wapinzani but there is no way you gonna win....

  ReplyDelete
 2. Katuni hii is right on the point. TBC1 leo wamekata matangazo katikati ya Mkutano wa Dr. Slaa pale tu Mabere Marando alipoanza kusema ukweli juu ya madhambi ya Mkapa na Kikwete. Demokrasia iko wapi? Wameweka bango na halafu taarifa ya habari. No apologies no nothing.

  Opposition will not win kama mambo ndo haya. CCM WATAKAA MADARAKANI MILELE NA MILELE. AMEN!!!

  ReplyDelete
 3. Wanachofanya TBC na vyombo vingine vya habari vyenye upendeleo kwa CCM ni kuchelewesha tu mabadiliko lakini kamwe hawawezi kuyazuwia milele.Cha kutia matumaini ni ukweli kwamba taratibu Watanzania wanaanza kufunguka macho na kutambua kuwa Tanzania bila CCM inawezekana,na Tanzania bila ufisadi inawezekana pia.

  ReplyDelete
 4. TBC1 ni mali ya CCM. Wala tusiumize vichwa vyetu kuhusu umiliki wake.

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU