NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Wednesday, September 8, 2010

MJUMBE "HAUWAWIGWI". MSAIDIENI HUYU MDAU ANAYEMTAFUTA MWENYE HUU MGUU KWA HALI NA MALI

Mr Matondo;

Niliiona hii picha somewhere in one of the blogs lakini sikumbuki which one. Since you have a nice collection of blogs on your blog, can you or one of your readers let me know ni blog gani? I desperately need to establish a contact with the owner of this leg, no matter what!

Thanks; 

James (True Mdau!)


********

Angalizo langu: Binadamu (a.k.a Homo Sapiens) ni kiumbe tata ambaye hunivutia sana. Baadhi ya matendo yake ni ya kufurahisha, mengine ya kipumbavu, mengine ya kinyama, mengine ya kibinadamu ali mradi vurugu tupu. Nilikuwa nimekata shauri kuupuuzia ujumbe huu lakini baada ya kufikiri vizuri nikaona pengine ni vizuri niuweke hapa. Nina sababu zangu kwa kufanya hivyo. Msaidieni Homo Sapiens huyu anayemtafuta mwenye mguu huu kwa hali na mali!!!

10 comments:

 1. hahaaa wameanza tenaa... mwambie apite kwenye archives ya zeze kulu 8020 blog fashion.
  mdau ars.

  ReplyDelete
 2. ni kweli, kuna haja ya kutimiza ombi hili, kwako yaweza kuwa upuuzi lakini kwake ni ugonjwa ambao utatibiwa na wewe kutlifanyia kazi ombi lake

  saikolojia hiyo na mambo ya maumbile sijui nini yaani

  ReplyDelete
 3. Kuridhika bonge la kitu na kiridhishacho mtu ukidadisi unaweza kushangaa mwenyewe. Naona jamaa mguu tu umetosha kumuhakikishia matarajio ya kuridhika.:-)

  ReplyDelete
 4. Hahahaaa,kazi kwelikweli sasa akishampata huyo mwenye mguu alafu inakuwaje?

  ReplyDelete
 5. Mabrazameni hebu tuacheni utani. Kila mwanaume ana kitu akipendacho kwa demu. Wengine kama mimi nahusudisha sana matako makubwa, msela wangu mmoja yeye ni macho, jamaa mwingine ni matiti, wengine sura. Ni obvious huyu jamaa yenye hobbie yake ni mamiguu kwani inavyoonekana yuko hoi vibaya sana mpaka anatia huruma. Jamaa kaupenda mguu hata bila sura,tabia wala nini na seems yuko siriazi kweli kweli. Itabidi atuambie kama akimpata mwenye nao and what happens next...Very interesting!

  ReplyDelete
 6. JAMANI HUYO DADA ALIKUWA MAID KWENYE KITCHEN PARTY YA MISHI BOMBA,MWOMBE DADA ZEZE MSAADA KIJANA,IF YOU LOVE SOMETHING SET IT FREE,IF IT COME BACK TO YOU ITS YOURS.SO JIPANGE KUKABILIANA NA YOTE KIJANA

  ReplyDelete
 7. We Uitwaya Edna acha kuuliza maswali ya kitoto. Ina maana hujui kitakachotokea hapo??? Kama hujui nitafute nikueleweshe privately. Here mkanzabi2002@yahoo.com

  ReplyDelete
 8. James (True Mdau!)

  Nadhani umepata ulichokuwa unakitafuta. Tunakutakia kila la heri!!!

  ReplyDelete
 9. Kaka Matondo huu ni upupu kutoka kwa huyo ndugu yetu mpendwa. Akazane na maendeleo yake na ya jamii kwa ujumla.... jamani na aache ndoto!

  ReplyDelete
 10. HAYA MJINI NI SHULE. MGUU WANGU HUO.

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU