- Nilipokuwa nyumbani mwezi wa sita 2010, nilivutiwa sana na tangazo hili lililokuwa likionekana mara kwa mara katika runinga. Umasikini, kufuata mkumbo (peer pressure) na tamaa ndivyo vinawaponza matineja wengi.
- Hongereni sana TAMWA kwa tangazo hili la kuelimisha. Mafataki bila shaka matumbo moto! Kwa nini mhangaike na watoto wadogo wa shule na kuwaharibia maisha yao bure wakati dunia imejaa wanawake wa kila aina?



Ngoja nianze na kupiga vigelegele luuluuuuuu lya lya lya, Hongera sana TAMWA. Hii nimeipenda sana SIDANGANYIKIIIIII sAFI SANA-
ReplyDeletePengine ingekuwa vizuri mafataki wote WAHASIWE. Kikwete unasemaje? Tupitishe sheria ya aina hii?
ReplyDeleteHata mimi sidanganyiki. Kwa nini fataki anipe UKIMWI wakati naona live. Mabinti tuwe makini.
ReplyDelete