NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Friday, September 3, 2010

SIONI UCHESHI, KEJELI WALA UJUMBE WO WOTE KATIKA KATUNI HIZI

  • Ingekuwa ni wenyewe pengine wangeita "distasteful" au "tasteless" kabisa. Tangu lini Waafrika tukaanza kuchekana mwenzetu anapougua? Siasa ndiyo ni mchezo mchafu lakini.......

1 comment:

  1. Wewe mtu wa CCM utaonaje ujumbe hapa. Ujumbe ni Mwenyekiti wako anakejeliwa. Kalagabaho!

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU