NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Tuesday, October 26, 2010

ATHARI ZA UTANDAWAZI: MAJINA MAPYA YA KIHAYA (UCHESHI)

  • Tangu huduma za simu za mkononi kupamba moto kule Kagera, wazazi wengi wa Kihaya wamewapa watoto wao (hasa waliozaliwa kati ya miaka ya 90 na 2003) majina yanayotumiwa katika huduma za simu za mkononi. Hapa chini ni majina ambayo kwa sasa ni ya kawaida miongoni mwa Wahaya.
*******************

1. Network Rugemalira 2. Subscriber Rwegasira 3. Nokia Mugisha 4. Siemens Rweyemamu 5. Motorola Rweiyunga 6. Dial Kalokola 7. Vibration Rutabanzibwa 8. Call Later Rwenyongeza 9. Voicemail Mutashobya 10. Simcard Mwombeki 11. Scratchcard Rwehumbiza 12. Talktime Buberwa 13. Send Rutashobya 14. Paging Mutayoba 15. Mobitel Rumanyika (Chief) 16. Message Rwezaura 17. SMS Kashaija 18. Phonebook Mugyabuso 19. Ringtone Kyaruzi 20. Celtel Mutalemwa (Chief) 21. Coverage Mutakyawa 22. Congestion Mushumbusi 23.Vodacom Ishengoma (Chief) 24. Cellphone Rugarabamu 25. Beep Rweyendera 26. Network busy Rwetabura 27. Missed Call Rwelamira 28. Message Sent Lwakatare 29. Buzz Rutabandama 30. SautiYaWatu Rubibira 31. Making life better Rugaiganisa 32. Simcard Lukamilwa 33. Notreachable Kokushubira 34. Messagealert Aligawesa 35. Celtel Mujwauzi 36. Kalikawe Menu 37. Keypadlocked Bingileki 38. Phonebook kokuhama 39. Shumbusho Templates 40. Buzznibomba Byabato 41. SonnyErricson Kashebo 42. Network Rutahakana  43. Delete Katunzi 44. Celltower Byarugaba Kokuberwa 45. Nokia Kataraia 46. Vibrationalert Kokutona 47. Unlock Kente Nkaitwabo 48. Umenidip Kaizilege 49. Rechargevoucher Kaindoa 50. Calldivert Kyabulyo 51. Screensaver Mujuni 52. Beatrice Kokubatterydown 53. Batteryfull Rwegoshora 54. Receivedcalls Mugangala 55. Charger Kemilembe  56. Sms Rujweka 57. Notreachable Tibangayuka 58. Mtandao Kaizirege Rutabasimwa 59. Outbox Kokupima 60. Tigo Kokunyegeza 61. Ringtone Rushobiya 62. Beep Kagasheki. 63. Unreachable Rwebangira.  64. Voda Mukyanuzi 65. Network Rugarabamu (aka Message Failed). 66. ZeroBalance Rugaimukamu 67. Keypad Mukandala 68. Connection Failed Mutembei; na mengine mengi.....

*******************

 Credit: Asante Mdau Peter kwa ujumbe huu chekeshi. Furaha!

2 comments:

  1. Hii nimeipenda. Ni njia nzuri ya kujifunza utamaduni wetu. I love the Haya because we are v. proud of our culture. Makabila mengine kama nyie Wasukuma hakuna lolote...

    ReplyDelete
  2. Message Sent Lwakatare. Wow!

    You see. We can maintain our culture even in the face of acute globalization.

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU