NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Thursday, October 21, 2010

??????

4 comments:

 1. Huyu na kitembe chake - masikini hohehahe lakini bado tu hajajifunza.

  Hajui kwamba mabilioni yaliyonyakuliwa na mafisadi yangetosha kabisa kumfanya awe na maisha bora.

  We still have a long way to go: ????????????????????/

  ReplyDelete
 2. huyo na kijumba chake katishwa na viongozi wa ccm kuwa asipobandika picha atakamtwa

  ReplyDelete
 3. They are scared of change. Hawa watakufa na CCM yao. CCM OYEEE!!!!!!!!!!

  ReplyDelete
 4. Angalau kuna amani. Siyo kama huyu mhuni Slaa anayetaka kutuharibia amani yetu. Niachieni tembe langu lakini niishi kwa amani na si vinginevyo!!!

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU