NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Friday, October 15, 2010

CCM NA FALSAFA YAO YA MAFIGA MATATU


Picha ni kutoka blogu ya Mh. Rais Dr. Jakaya Kikwete.

1 comment:

  1. CCM wameishiwa sera na kuanza kutangaza uhuni. Mafiga au mafya matatu ni falsafa chovu ya kizaramo inayoshajihisha uzinzi. Nadhani kutokana na Kikwete na mkewe kuwa karibu na kabila hili kwa kila kitu, wameanza kuhamasisha upuuzi huu wa mafiga matatu na baadaye vidumu viwili na ndoa kwenye sera yao ya kitanda kwa kitanda na nyumba kwa nyumba hakuna kulala. Mtamalizana kwa ukimwi bure. Leteni sera na si upuuzi huu.

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU