NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Saturday, October 23, 2010

HII PICHA YA MH. ZITTO KABWE IMENIKUMBUSHA NYUMBANI MWAKA 1984

Picha ni kutoka kwa King Kif
  • Mwaka 1984-85 kulikuwa na njaa kali sana katika mkoa wa Shinyanga; na tumahindi kama hutu anatotupima Mh. Kabwe tungetosha kupikia uji wa kutosha kunywa familia nzima. Hata sasa bado kuna familia zinazotegemea tumahindi kama hutu kwa mlo wa siku nzima. Sina uhakika kama viongozi wetu wanalijua hili; na kama wana mkakati makini wa kuinua maisha ya Watanzania wenzetu hasa wanaokaa vijijini. Pengine mkakati wa Kilimo Kwanza utaweza kuleta mabadiliko makubwa kama utatekelezwa kwa makini.  

2 comments:

  1. amazing ;)


    if you want follow me <3

    ReplyDelete
  2. Siku hizi hakuna hao unaowaita viongozi bali watawala wala watu. Na isitoshe, vipaumbele vyao ni kwa ajili yao, familia zao na mafisadi wao. Huu ni ushahidi tosha kuwa nchi yetu bado haijawahi kuwa huru. Tunazidiwa hata na kuku ambaye lau hutaga mayai. Sisi tunalishwa na wafadhili. Je tunazalisha nini katika huu ukuku wetu? Tafakarini.

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU