NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Tuesday, October 26, 2010

HOPELESS KABISA....

5 comments:

 1. Naam! Kwa huyu jamaa akina Lowassa ni chekechea tu kwa mambo ya ufisadi. Jamaa aliiba mpaka duh. He is the king of kings kwa ufisadi barani Afrika.

  And then at the end of the day hapa kachoka ile mbaya. Mafisadi should learn from this guy. When you steal so much, think about the legacy you are leaving behind. I will take the poor Nyerere anytime that this hyena. African shame!

  ReplyDelete
 2. Even San Abacha, Gen. Bokassa and all the notorious mafisadi can't catch this guy. Lowassa, Chenge and Mramba are simply not on the same league with this guy. Mobutu is on the league of his own. And then we have the audacity to complain about our poverty as emanating from outside influences.

  ReplyDelete
 3. Mhhh, ukifisidi ujue na wewe utafisidiwa, its just a matter of time, jasho la watu litakuandama tu!

  ReplyDelete
 4. Marakeni ndiyo chanzo cha kifo cha Lumumba. Huyu FISADI alikuwa ni kibaraka wao, cha kushangaza leo hii marekani inamtambua Mobutu kama dikteta.

  ReplyDelete
 5. This comment has been removed by the author.

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU