NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Monday, October 4, 2010

MAELEZO MAZURI KUHUSU UMEME WA JUA TANZANIA - BEI, MITAMBO NA MENGINEYO

 • Nilipokuwa nyumbani mwezi wa sita mwaka huu nilijaribu kuweka umeme wa jua katika nyumba ya mama kijijini. Japo muda uliniishia, niliweza kupata maelezo ambayo naamini yatawanufaisha wote ambao wanataka kuweka umeme wa jua nchini Tanzania. Maelezo haya (yanapatikana hapo chini) yameandaliwa na kampuni ya Zara Solar Limited yenye matawi yake Dar es salaam na Mwanza. 

     3 comments:

     1. Asante kaka!
      Thx for sharing.

      ReplyDelete
     2. Matondo, haya ndiyo maneno. Mimi nawaunga mkono wadau kama wewe wenye kiu ya kuwekeza kwenye nishati mbadala. Binafsi nina miaka mitatu toka nianze kutumia nishati hii mbadala pale kijijini kwetu Mbulu.

      ReplyDelete

     JIANDIKISHE HAPA

     Enter your email address:

     Delivered by FeedBurner

     VITAMBULISHO VYETU