NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Wednesday, October 20, 2010

MSAMIATI WA MATINEJA - KUTOKA GAZETI LA WANAFUNZI

Picha inapatikana hapa.
 • Walengwa ni matineja na hivyo usishangae kuona kwamba karibu misamiati yote imelenga kwenye eneo moja tu - ngono! 
  • Inasemekana kwamba wanaume hufikiria ngono kila baada ya dakika saba ingawa dai jipya lisilothibitishwa ni kila baada ya sekunde 52. Utafiti wa kuaminika zaidi uliofanywa na Taasisi ya Kinsey unaonyesha kwamba ni nusu tu ya wanaume ndiyo hufikiria ngono kila siku au mara kadhaa kwa siku moja. 
   • Japo ni "Homo Sapiens" binadamu bado ni mnyama na ngono ni muhimu kwa sababu ni kupitia kwayo binadamu anaweza kujihakikishia uwepo wake. Wafuatilie matineja hawa katika misamiati hii "kamambe".

    *************

    1. TRIPSOLAGNOPHILIA
    The desire to obtain sexual pleasure from message.

    2. COITOBALNISM
    Kitendo cha kufanya ngono ukiwa bafuni.

    3. SACIFRICOSIS

    The practice of absentmindedly fiddling with your genitalia through your pants pockets. Also known as "playing pocket pool" or "pocket hockey"

    4. FAUNOIPHILIA
    An abnormal desire to watch animals copulate.

    5. BRASSIROTHESAURIAST
    A person who collects brassieres or pictures of women wearing them.

    6. PARAPHILIA
    A preoccupation with unusual or abnormal sexual practices.

    7. EUNOTERPSIA
    Mkondo wa mawazo unaodai kwamba kujipatia furaha za kingono ndiyo lengo hasa la maisha!

    8. TYPHLOBASIA
    "Kula denda" huku ukiwa umefumba macho.

    9. MAMMAQUATIA
    Kunesanesa kwa matiti ya mwanamke wakati anapotembea, anapocheza muziki au anapofanya mazoezi

    10. AMYCHESIS
    The involuntary act of scratching or clawing your partner in the heat of passion.

     1 comment:

     1. Ni kweli yaonyesha ni misemo ya matineja...lakini mmmh, kuna wengine umri umewapita lakini wamo nayo!

      ReplyDelete

     JIANDIKISHE HAPA

     Enter your email address:

     Delivered by FeedBurner

     VITAMBULISHO VYETU