NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Tuesday, October 26, 2010

NATUMAINI KWAMBA SHULE ZA KATA HAZITASAHAULIKA....


"Tunalo Tatizo la vijana kutopenda somo la Sayansi. Tunao 
Mpango madhubuti wa kuongeza maabara zenye vifaa vya kutosha 
ili wanafunzi wajifunze kwa vitendo na si kwa nadharia, hivyo 
kurejesha ari ya kupenda somo hilo na hatimaye tuzalishe 
wataalamu" J. Kikwete leo jioni jijini Mwanza. 

(Picha na nukuu kutoka blogu ya G. Sengo)

2 comments:

 1. Somo la sayansi ni lipi? Wadau naomba ufafanuzi.

  ReplyDelete
 2. Mzee wa kaya keshatoa ahadi nyingi mno. I am sure 100% wala hajui which is which. Who is there kufuatilia na ku-make sure kwamba these promises (some of which are real good) zinatekelezwa?

  Hapa naungana na mdau wa hapo juu. Somo la Sayansi ni lipi? Ni Fizikia? Ni Kemia? Ni Bayolojia? Ni Hisabati? Ni Jiografia? Ni nini?

  Tunafanya mchezo na elimu - which is supposed to be our number one priority. Tumejenga shule za kata na tunatupa maelfu ya wanafunzi huko. Nyingi ya shule hizi hazina walimu, vitabu hata vyoo. Wanafunzi hata hawajui what is Bunsen Burner na hawajawahi kuona japo Test Tube.

  Wazo zuri Mheshimiwa kama utalitekeleza. Wasiwasi wangu ni kwamba too much ahadi - kuanzia bajaji kwa akina mama waja wazito, viwanja vya ndege, vyuo vikuu. May be washauri wako wakufanyie prioritization. Na suala la elimu linapaswa kuwa namba wani. Ungeweza ku-solve issue ya lugha ya kufundishia mashuleni, ungejijengea legacy nzuri sana, potelea mbali mafisadi akina Lowassa, Chenge na Mramba wanaokuharibia kila siku.

  Ubarikiwe Mheshimiwa raisi wangu wa nchi niipendayo sana. God Bless Tanganyika!!!

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU