NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Thursday, October 21, 2010

SOKA IMEPAMBA MOTO HAPA MAREKANI - NA MABINTI NAO WAMO!

 • Kuna vuguvugu kubwa la mchezo wa soka hapa Marekani na Na Bi. Zofa (a.k.a Minza) anaonekana kuwa makini zaidi na huu mchezo. Inafurahisha sana!

7 comments:

 1. Haya kina shangazi, kazaneni kujituma huo mchezo kwa wanawake sasa unalipa sana.
  Hongera kaka vipaji hivyo vinaanza kuonekana.

  ReplyDelete
 2. Safiii Sana! Hawa ndio wanawake wa shoka haswa. Hii inafurahisha sana kuona watoto wanapenda michezo. Ni vipaji ndio lakini pia inaimarisha viungo vya mwili kuwa wakakamavu.

  ReplyDelete
 3. mwe! angezaliwa tanzania tungekuwa tunasubiri kumwingiza twiga stars

  ReplyDelete
 4. Safi saaana tu hii! Michezo ya kompyuta imezidi afadhali kuona watoto wako nje wanasakata kabumbu.

  ReplyDelete
 5. Matondo,hapa lazima kitu kifanyike! Namwandaa Willy kwa ajili ya Minza, japo naogopa idadi ya ng'ombe wa kisukuma kwa ajili ya mahari. Itabidi nianze kulipia kabisa kabla sijarudi kwenye madafu. Naamani kwa nguvu za Euro Willy atawashinda wachumba wengine. Sijui atamtema kwasababu yupo kijijini Dongobesh? sidhani, Willy yupo makini sana.

  ReplyDelete
 6. Wapendwa;

  Asanteni. Michezo ni muhimu sana kwa watoto na kama Mtakatifu ulivyosema, mzazi usipokuwa makini watoto watakuwa wanashinda kwenye runinga na Nintendo wii.

  Bwana Matiya - ng'ombe tutaelewana tu. Lakini kumbuka hawa ni wasomi na ni wachapa kazi kwa hivyo idadi ya ng'ombe inapanda. Mwambie kijana Willy ajiandae. Asije akashangaa namwambia tu aniwekee mitambo ya biogas kama mahali...ha ha ha!!! Mungu Aendelee kutubariki!

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU