NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Friday, November 12, 2010

FIKRA YA IJUMAA: IF YOU KNOW THE SOLUTION, YOU ARE PART OF THE PROBLEM !!!

******************
 1. Ati, unalijua suluhisho la tatizo linalokusumbua? 
 2. Kama jibu ni ndiyo; una uhakika kwamba kweli una tatizo au pengine wewe ndiyo (sehemu ya) tatizo? 
 3. Na kama wewe ndiyo (sehemu ya) tatizo, utawezaje kujisuluhisha? Bado una uhakika kwamba una tatizo?
 4. Kama jibu ni ndiyo, una uhakika gani kwamba suluhisho ulilonalo kwa tatizo linalokusumbua (mf. ufisadi au huyu ambaye familia yake "imetekwa na maninja") ndilo bora kuliko masuluhisho mengine yote? 
Angalizo: Sina uhakika kama kanuni za 
mantiki zimezingatiwa. 
Wikiendi njema!

******************

3 comments:

 1. Nafikiri si lazima ukijua TATUZI wewe ni (sehemu ya)tatizo.

  Ila siri ya TATUZI daima ni TATIZO.

  Wikiendi njema kwako pia MKUU!

  ReplyDelete
 2. duhu, ila sasa, unaweza ukajiamini na kujifikiri kuwa unajua suruhisho kumbe hujui au unalolijua silo na ndio maana hujalifanyia kazi

  hujaona baadhi ya nchi wanachagua wapinzani then mambo yanakuwa mabaya zaidi??

  unaungua jua tu

  ReplyDelete
 3. Ukijua tatizo umepunguza nusu ya tatizo, nusu iliyobakia ni jinsi gani ya kutatua hilo tatizo!

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU