NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Wednesday, November 3, 2010

JAPO HAKUFANIKIWA, ANGALAU ALITENDA ALICHOKUWA AKIKIAMINI NA KUKIHUBIRI.

2 comments:

  1. Mwalimu umenikumbusha mbali. Huwezi kumlinganisha gwiji huyu na hawa vinyamkera wanaoingia madarakani kwa pesa ya mafisadi itokanayo na rushwa na kuwauza watu na raslimali zao. Alitumia ubongo na roho yake kufikiri na si utumbo na uroho. Nani anaweza kubeba achia mbali kuvaa viatu vyake? Kweli simba akifa ngozi yake yaweza kutafunwa hata na panya kama tunavyoshuhudia kiti chake kikinajisiwa na kila mja-laana kimada wa mafisadi.

    ReplyDelete
  2. Ndiyo, hata Nyerere ufisadi ulimshinda. Alijaribu kupata mafanikio kupitia mgongo wa Sokoinne lakini mafisadi wa wakati ule ndani ya CCM wakam-Kolimba Mmasai wa watu. Mpaka leo hakuna anayejua alikufaje Morani yule.

    What Nyerere has to be commended for ni jinsi alivyoishi. Ni kweli alishindwa lakini we have to give the man credit for real believing on his philosophies. Siyo kama hawa wasanii wetu tulionao sasa ambao wanatuambia eti Tanzania ni nchi ya Ujamaa na Kujitegemea wakati ni ufisadi, wizi na kujitajirisha kila kona!

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU