NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Wednesday, November 10, 2010

NI ARI ZAIDI, NGUVU ZAIDI NA KASI ZAIDI: AHADI ZILIZOTOLEWA ZAANZA KUTEKELEZWA!

 • SENIOR Personal Assistant to the President,Mr Lumbila Fyataga (left), hands over auto rickshaw (bajaji) documents to the Lindi Regional Administrative Secretary, Mr Thomas Sowani (right), at the State House in Dar es Salaam on Tuesday. The auto rickshaw was donated by President Jakaya Kikwete to Ms Maria Imakulata Simon Mbonde of Nandete village, Kilwa Kipatimu, who has a physical disability. The president had promised to buy her the vehicle during his campaign tour. Photo by John Lukuwi
 • Mambo yakienda chapu chapu namna hii na ahadi zote (hasa zile za muhimu kwa wananchi) zikatekelezwa basi pengine "maendeleo ya haraka" yatapatikana. Picha na maelezo ni kutoka kwa blogu ya H@ki Ngowi.

3 comments:

 1. Tunataka ahadi zile kubwa kubwa bwana, sio kuwapa wanafunzi penseli unaacha madawati ha ha haaa

  ReplyDelete
 2. Nyie subirini tu. Na viwanja vya ndege vitaanza kujengwa sasa hivi - haijalishi kama hakuna ndege zinazoweza kutua huko!

  CCM OYEEEEEEE!!!!!!!!!!!

  ReplyDelete
 3. CCM Bado wanafanya usanii wao ule ule. Sasa wamemtoa Sita kwenye Uspika na wanataka kuweka mtu wao pale. Wapinzani wakianza kujipanga vizuri na kuwa makini kuanzia sasa, mwaka 2015 CCM will be ready for da taking kwani kweli sasa wamezidi. Operesheni Sangara continue and gud luck Zitto Kabwe in 2015. CCM imetuchosha sana jamani....

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU