Kwa kumwangalia tu mtunuku na mtunukiwa mi napata wasiwasi.
Halafu chuo chenyewe hakijatoa Ph.D hata moja. Naona hii ndiyo Ph.D yao ya kwanza. Well done UDOM! Congratulations JK! Zikusanye hizi honorary digrrii baba, zikusanye tu usichoke.
Next in line should be Emmanuel Nchimbi and Diodorus Kamala...Hawa wana usongo na Ph.D sijaona mpaka wamegushi vyeti. Bora tu tuwape hizi za bure ambazo angalau ziko legal.
Ni hapa ambapo msemo wako wa "THE TRULLY EDUCATED NEVER GRADUATE" unashika kasi.
ReplyDeleteNa kwa msemo huu, naamini Raisi wangu ni MUELIMIKA SAANA
Sijui naelewekaaaaaa????
Kwa kumwangalia tu mtunuku na mtunukiwa mi napata wasiwasi.
ReplyDeleteHalafu chuo chenyewe hakijatoa Ph.D hata moja. Naona hii ndiyo Ph.D yao ya kwanza. Well done UDOM! Congratulations JK! Zikusanye hizi honorary digrrii baba, zikusanye tu usichoke.
Next in line should be Emmanuel Nchimbi and Diodorus Kamala...Hawa wana usongo na Ph.D sijaona mpaka wamegushi vyeti. Bora tu tuwape hizi za bure ambazo angalau ziko legal.
ReplyDeleteIs that why they call him "Doctor" with all these graduation and stuff...I am sorry I think I missing something
ReplyDeleteNdio maana nasikia YESU hakwenda shule ya tiolojia Na MOHAMEDI alikuwa anakariri tu bila kuandika!:-(
ReplyDelete