"...Hivi karibuni Mzanzibari mmoja mhitimu wa chuo kikuu alisafiri ndege moja na mtu ambaye muda wote wa safari yao alikuwa akisoma kitabu. Huyo mhitimu wa chuo kikuu baadaye aliniambia kwamba alishangaa alipogundua kuwa msafiri mwenzake alikuwa Mzanzibari kama yeye. Nikamwuliza: ‘Kwa nini?’ Akanijibu kwa sababu alikuwa akisoma kitabu. Sikudhania kwamba alikuwa Mzanzibari kwa sababu sisi hatuna kawaida ya kusoma."
mawasilianoikulu
1 week ago




0 comments:
Post a Comment