- Binadamu ndivyo tulivyo. Hata ufanye jambo zuri namna gani, lazima tu kuna ambao watakerwa na kulalamika. Hata Yesu alilalamikiwa kuhusu miujiza yake na bado kuna watu ambao wanadai na kuamini kwamba pengine alikuwa ni mwanamazingaombwe aliyebobea tu!
- Huyu mama kafumbua fumbo baada ya herufi moja tu na tayari sauti zinapazwa eti uchunguzi ufanyike. Inawezekana amedanganya na hakupaswa kushinda na kujipatia kitita cha pesa alichoambulia. Binadamu!



0 comments:
Post a Comment