Nilitaka kusema namshangaa aliyefanya ``KOMPAILESHENI ´´ hii kwa kutaka kudokezea kuwa ni yeye wa ajabu kwa kudhani hii ni kitu yakuweka kumbukumbu na kuonyesha watu.... halafu nikajistukia mimi mwenyewe nimeangalia kideo kizima mpaka mwisho kwa makini kabisa!:-(

ReplyDeleteHOMO SAPIENS incl. me !:-(
Mtakatifu - sote tu HOMO SAPIENS incl'd lakini kama walivyosema wahenga wetu pengine wakati mwingine akili nyingi....
ReplyDeleteNa hapa hatujazungumzia mabomu ya nyuklia ambayo kimsingi yanaweza kutufisha kabisa tusionekane!
Hao wanaokanyagwa na mabulls wanasikitisha. Why? Because it is a sport? Jamani duh!
ReplyDelete