NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Friday, December 31, 2010

FIKRA YA IJUMAA: HEBU TUMALIZIE MWAKA HUU (2010) KWA KUISOMA MANIFESTO HII KWA UANGALIFU !!!

***************
Napenda kuchukua nafasi hii kutoa shukrani za dhati kwa wanablogu wenzangu na wadau wote wa blogu hii. Tuendelee kupendana na kushirikiana. Nyote nawatakieni mwaka mpya (2011)  mwema na wenye mafanikio tele. Mungu Aendelee kutulinda na kutubariki. Panapo majaliwa, tutaonana tena mwaka kesho (2011)

***************
Manifesto hii inapatikana hapa.

10 comments:

 1. Kila la kheri Mkuu na asante kwa yote!

  ReplyDelete
 2. Asante sana tumefurahia sana mambo ya maana na yakutufanya tufikirie kwa undani 2010. Asante kwa kutufunua macho na kutukumbusha mengi sana ya zamani. Ninasoma mablogu mengi sana lakini mambo mengi ni ya mapenzi na mengineyo. Ni wachache sana wanaozungumzia mambo ya siasa na familia kama hii ya kwako. Mungu akulinde ili uendele kutuchangamsha 2011 Bwana Masangu.

  ReplyDelete
 3. Ahsante sana kaka na tunashukuru kwa yote. Salaam za 2011 kwako na familia

  ReplyDelete
 4. Matondo - blogu yako naipenda sana. Happy New Year na tunategemea mambo makubwa 2011. Siku ukija TZ nijulishe. Ningepeda kukuona kwani uandishi wako unanikuna sana and it seems you are very simply. Hafu napenda unapoweka posts jinsi unavyowapenda watoto na familia yako. Even flowers after 10 yrs of marriage ni wazi kwamba mkeo bado anakpenda and you are doing some things right,. There is a lot of things to learn from u.

  Niko Benki kuu and the next time you come this way just let me know pliz!!!

  ReplyDelete
 5. Nilitaka nitoe maoni sasa nimeishia kukubaliana na Nesta.

  Ukweli aliounena Nesta nimekuwa nikikueleza mara nyingi. Uandishi wako hukuna wengi na ni kama kwa ajili ya kila mtu. Asiyeielewa blogu hii na aka-renew uwezo wake wa kufikiria. Unaandika mambo magumu kwa namna rahisi. Kibaya ni kuwa HAUIGIKI. Ningekuwa nishakuiga mie. Duh!!!

  Wacha nimnukuu lakini nihariri.
  Yoote yako Ok ila aya ya mwisho.

  Niko DC nabeba boksi and the next time you come to oru Metro area just let me know. Hata kama una begi na sio boksi, still naweza kubeba.
  Hahahahahaaaaaaaa

  HERI YA MWAKA MPYA

  ReplyDelete
 6. Mubelwa looooooool!!!! una visa wewe yaani kha! Anyway kaka mimi nasema tu, nakutakia heri katika mwaka huu mpya wa 2011, baraka nyingi ziende kwako pamoja na familia yako. Mungu awe pamoja nanyi. Happy New Year!

  ReplyDelete
 7. Asante kwa Manifesto Matondo. Yaani ni ujumbe mzuri sana na nimeamua manifesto hii ndo iniongoze katika mwaka huu mpya. Asante sana kaka, bila kusahau na mimi naungana na hoja ya Nesta na Mzee wa Changamoto.

  Heri ya mwaka mpya.

  ReplyDelete
 8. Bwana Matondo,
  Heri ya mwaka mpya wewe na familia yako. Nakutakia kila unono na fanaka mwaka huu. Ubarikiwe na tuzidi kuswaga njeo pamoja.

  ReplyDelete
 9. Ahsante nawe pia na familia yako. PAMOJA DAIMA

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU