NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Friday, December 17, 2010

FIKRA YA IJUMAA - LEO TUKITAFAKARI KIFO

Picha hii iko hapa.

Kutokana na kuondokewa kwetu na Dr. Remmy Ongala - Mwanamuziki mashuhuri aliyeimba nyimbo zilizoigusa jamii mpaka ikambatiza jina la Sauti ya Mnyonge, leo napenda tutafakari juu ya kifo kwa kuyarejelea makala haya niliyoyaandika zamani wakati naanza kublogu.
 
Wikiendi njema jamani wakati tukimtafakari huyu adui (au pengine niseme rafiki) aitwaye kifo!

1 comment:

  1. Hakika maisha haya wengi wanasedma watu tunaishi mara moja tu, kwahiyo pale unapopata wasaa basi fanya kile ambacho hujakifanya. Leo mpo wote kesho simo mmmhhh!! leo si siku yangu sitasema sana!! ijumaa njema wote!

    ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU