NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Thursday, December 9, 2010

HAWA NI MARAFIKI WA KWELI !!!

Enyi marafiki wa kweli wema. Urafiki wenu wa tangu utoto umejaa upendo kamili, matumaini, wema, shukrani na mng'aro.

Napenda kuchukua nafasi hii kuwashukuruni kwa kunipa nafasi adimu ya kujifunza maana halisi ya urafiki wa kweli kwa vitendo kupitia kwenu. 

Mungu Awabariki sana. Hebu urafiki wenu huo wa kupigiwa mfano na ukaendelee kukua na kustawi. Asanteni sana!!!

4 comments:

 1. Kila la kheri kina dada. pengine ningewafahamu ningewauliza nini chachu ya urafiki wenu nami nikajifunza.

  ReplyDelete
 2. Aisee, huyo mweupe siyo Sophia kweli huyo. Mwanamke mzuri sana yule. Where is she now? Wewe ulimfahamuje? Can I get her contacts? Tulikuwa pamoja Korogwe girls in the old good days.

  I would want to see the man she married because sshe was so picky. We used to call her nun!!!

  ReplyDelete
 3. Mwanaidi Shaaban - you are right. That is Sophia na mwingine simkumbuki jina vizuri but she was very beautiful. Sophia is the cheupe from Moshi. Alikuwa high class yule hali chakula cha shule. But I think alikuwa na roho njema anasaidia sana watu. Sasa nasikia yuko USA kaolewa na mzungu milionea.

  Mwanaidi we uko wapi. Mi niko hapa Manchester, UK nafanya biashara zangu. Nina watoto wawili and I also married a mzungu japo wa kwangu si milionea. Bernadetha Killian unamkumbuka. Kile kisichana chembamba kutoka Kusini. Sasa ni Kiprofesa pale Mlimani na nasikia eti kina Cheo kikubwa sana. Mariam Yusufu yule Mrangi nasikia ni hakimu kule Mbeya. Kama unajua wengine waliko niambie. Guys we have to call a reunion sometime tukumbushane maisha yetu. We lived well back at Korogwe Girls.

  ReplyDelete
 4. Jamani hao sio Sophia na Neshi? Sophia hajaolewa na Mzungu yes yupo USA na kaolewa na mbongo from Mwanza

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU