- Mimi nilimwona Dr. Remmy nilipokuwa shule ya msingi alipokuja Bariadi kutumbuiza. Nakumbuka ilikuwa majira ya saa nne asubuhi na alikuwa anatembea mjini na wenzake nasi watoto tulianza kuzunguka naye mji mzima. Pumzika salama Dr. Remmy!
mawasilianoikulu
1 week ago






miaka hiyo ya themanini... kuleeee Igoma, Mwanza alikuja pale Igoma Bynight.... baada ya muda si mrefu Mzee Makasy naye akaja... Hapo ndipo Mzee makasy akaimba ule wimbo wa Anifa!!
ReplyDelete