NG'WANAKANUNDO - MANJU MASHUHURI WA KISUKUMA KUTOKA MWANZA

Friday, December 10, 2010

MATUNDA YA UHURU WETU - KWA MTAZAMO WA FeDe.

Ni kweli viboko vimezidi, wapigaji wameongezeka na nyenzo za kupigia zimekuwa za kikatili zaidi? Mimi sikubali!!!

4 comments:

 1. Manake nilipokiona hicho kibonzo hapo juu nikakumbuka jana, umeme haukuwepo mchana, na hatukuona lolote kuhusiana na shamrashamra hizo huko uwanjani. Nilijiuliza hizi sherehe maana yake ni nini..ni sherehe za viongozi au ni sherehe za kitaifa.
  Kama ni sherehe za kitaifa sisi akina nanihii tunahusije, kukaa majumbani, na kujifungia ndani ukiogopa kutoka nje ili mdai wako asikuone..wengine kushinda kazini au kijiweni inatusaidia, kwani tunadaiwa kila duka...unarudi nyumbani usikuuuu...
  Miaka 40 na nanihii, kufikia hamsini, ni mingi sana, ni mtu mzima, na wengine hapo wana wajukuu...je huyu mtu kama alishindwa kufanya miujiza akiwa kijana, ataweza hivi sasa akiwa mzee, au sio mzee tumuite mtu wa makamo?

  ReplyDelete
 2. Hizo ni athari za maendeleo katika jamii.
  La msing ni kuwa Tanzania ya wakati ule kabla ya uhuru siyo ya sasa. Pamoja na kuwa viboko vimezidi, wapigaji wameongezeka na nyenzo za kupigia zimekuwa za kikatili zaidi. Maendeleo yamekuwa ni makubwa katika nyanja zote. Hata yule bwana anashindwa kutoa uamuzi ama ajinyonge au la kwa sababu labda anafikili bado ana thamani katika maisha ya Tanzania baada ya uhuru!!

  ReplyDelete

JIANDIKISHE HAPA

Enter your email address:

Delivered by FeedBurner

VITAMBULISHO VYETU